RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAZISHI YA MWIGIZAJI WA FILAMU TANZANIA, SHEILA (RACHEL) HAULE

Msanii wa Bongo Movie Sheila (Rachel) Haule aliyezaliwa mwaka 1988, siku ya jana ilikuwa ni siku yake ya mwisho kuliona jua hapa dunia. Rumafrica ilifika kumlaza Rechal katika nyumba yake ya milele. Kipindi cha uhai wake Rechal alikuwa ni rafiki na mshauri mzuri wa kampuni ya Rumafrica. Kutokana na mchango wake Rumafrica imebaki na pengo kubwa sana.

CHANZO CHA KIFO CHAKE
Rachel Haule ambaye alikuwa mjamzito, siku ya Jumamosi 25.05.2014 alikimbizwa katika hospitali ya Lugalo hapa jijini Dar es Salaama kwaajili ya kujifungua na bahati mbaya sana baada ya kujifungua mtoto alifariki dunia. Hali ya Sheila (Rachel) Haule ilikuwa mbaya kutokana na pressure aliyokuwa nayo, alikimbizwa katika hospitali ya Muhimbili, kufika hospitalini hali ilikuwa mbaya sana na ikalazimika kumpeleka I.C.U na huko ndiko kifo chake kilimpata. Akiwa I.C.U alikuwa akilalamika sana kumuona mwanae lakini hakuweza kumuona mwanae mpaka mauti ilipomchukua.

Rechal Haule kipindi cha uhai wake alitamani sana kuwa na mtoto, alikuwa akizungumza sana juu ya kupata mtoto kwa rafiki yake kipenzi Odama. Odama alimtania na kumwambia akijifungua tu muda mchache watacheza filamu, Rachel alikataa na kusema anataka kumlea mwanae kwanza. Ndoto yake haijatimia na imezimika ghafla.

MANENO YA MWISHO ALIYOONGEA KWA RAFIKI YAKE JENNIFER KYAKA (ODAMA)
Rachel Haule alisema, "Odama nataka kumuona mwanangu, Je, umemuona mwanangu?" Masikini ya Mungu, Rachel Haule hakujua ya kuwa manae alishafariki.

MAZISHI
Mwili wa marehemu umeagwa katika viwanja vya Leaders na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam siku ya Alhamisi 29.05.2014

MZIBA HUU UNATUFUNDISHA NINI?
Tunatakiwa kuwa karibu sana na Mungu, kwani hatujui kitu gani kipo mbele yetu. Unaweza kupanga hili lakini ukahsnga halikutimia. Nikajifunza ya kwamba tunatakiwa kuwa watu wa maombi na kujitakasa kila iitwapo dakika moja. Mungu wetu ndiye anayejua maisha yetu na wewe hujui hitima yako ni lini? Labda Rachel alipanga mengi na mchumba wake jinsi ya kumlea mwanae mpendwa lakini haijatimia ndoto yao. Watu wa Mungu tuzidi kumtumikia Mungu na kutubu dhambi zetu. Mungu amlaze mahali pema mpendwa wetu Sheila Haule..Amina

RUMAFRICA - MAKABURINI KINONDONI


Kushoto ni Rulea Sanga wa Rumafrica akimuaga rafiki yake Rachel Haule katika makaburi ya Kinondoni DSM
Rulea Sanga wa Rumafrica (kulia)









Rulea Sanga wa Rumafrica (katikati) akiwa na waandishi wa habari - Clouds TV

MATUKIOA MBALIMBALI YA MAZISHI YA SHEILA (RACHEL) HAULE






  Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth
  Odama wa pili kutoka kulia akiwa na mama Elieth



 Odama wa pili kutoka kulia akiwa na uchungu wa kupotelwa na rafiki yake Rachel Haule

KIPINDI CHA KUOMBEA MWILI WA MAREHEMU







KIPINDI CHA KUTOA SADAKA BAADA YA NENO LA MUNGU
 Kemmy akikusanaya sadaka
  Irene Uwoya akiwa amezimia

KIPINDI CHA WASANII WA BONGO FLAVA KUMUIMBIA MAREHEM RACHEL HAULE

 Stara Thomas alihubiri na kuimba

KIPINDI CHA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SHEILA (RACHEL) HAULE  LEADERS
 Mwili wa Marehemu Sheila (Rachel) Haule
 Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae
 Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae

ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBOFYA (READ MORE) HAPO CHINI


 Mpenzi wa marehemu Sheila (Rachel) Haule, Saguda akiwa na uchungu nkubwa wa kufiwa mkewe na mwanae


 Mama yake na Marehem Kanumba
 Kajala (wa pili kutoka kushoto)
 JB
 Mainda


 Luge wa Clouds FM



 Joti

 Kemmy
 Maimatha
 Mwenyekiti wa Bongo movie Steve Nyerere
 Mama Elieth (kulia) akimfariji Jennifer Kyaka (Odama)
 Odama haamini macho yake kuhusina na kifo cha rafiki yake Sheila (Rachel) Haule












KIPINDI CHA JENNIFER KYAKA (ODAMA) KUAGA MWILI WA RAFIKI YAKE MPENZI SHEILA (RACHEL) HAULE
 Odama akiwa ameshikiliwa kwakukosa nguvu















 Saguda mpenzi wake na marehemu Sheila (Rachel) Haule

MAENENO YA MAKABURI YA KINDONI AMBAKO MWILI WA MAREHEMU RACHEL HAULE UNAPUMZISHWA.

ODAMA AKIHOJIWA NA CLOUDS TV KATIKA MAKABURI YA KINONDONI
 Odama akiwahojiwa na Shamaradi wa kipidi cha Take One Clouds TV








 Kulia ni mkurugenzi wa Rumafrica Rulea Sanga


















































































RUMAFRICA - MAKABURINI KINONDONI


Kushoto ni Rulea Sanga wa Rumafrica akimuaga rafiki yake Rachel Haule katika makaburi ya Kinondoni DSM
Rulea Sanga wa Rumafrica (kulia)
Rulea Sanga wa Rumafrica (kulia)









Rulea Sanga wa Rumafrica (katikati) akiwa na waandishi wa habari - Clouds TV

Picha zimepigwa na
RUMAFRICA
www.rumaafrica.blogspot.com

Comments