RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI TANZANIA MC JERY MTUMISHI ASHEREHESHA HARUSI YA JEFANIA NA ESTER

UKUMBI: SAFARI RESORT-KIMARA
TAREHE: 26/04/2014
MC: JERRY
NAMBA ZA MC JERRY; +255718 920479 AU +255 753 485049
Mbali na kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji MC Jerry Mtumishi pia hufanya kazi za kusherehesha (MC). Mungu amempa karama hiyo na anamshukuru Mungu kwa hilo.
Unaweza kuona kazi zake nyingi kwa kupitia blogu yake
www.mcjerrymatembele.blogspot.com



Kulia ni MC Jerry


 MC JERRY aliyesjika MIC

MATUKIO ZAIDI BOFYA

Comments