CHAKULA CHA KIROHO KUTOKA KWA NABII FLORA PETER WA KANISA LA YESU KRISTO HUDUMA YA MAOMBEZI NA UPONYAJI MBEZI SALASALA DAR ES SALAAM
Huu ni mwezi wa sita unaitwa mwezi Heluli, ni mwezi ambao Malaika alitumwa na Mungu kwa mwana mwali Bikira Mariamu, na leo ni siku ya kwanza ya juma ambayo Mungu aliumba nuru na akaliumba giza pia, nataka ile nuru iangaze maisha yako leo. Bwana aangaze maisha yako sasa maana hii ni wiki ya kuangaziwa, kupokea mema na ni wiki ya kufahia. Maana huu ni mwezi wa sita ndipo alipojazwa Roho Mtakatifu, Bwana atende kwako leo.

NENO LA MUNGU LINATOKA KATIKA KITABU CHA YOELI 2:21-27
Biblia inasema: Ee nchi usiogope, furahi na kushangilia, kwa kuwa Bwana Mungu ametenda mambo makuu; yaani anasema ee nchi usiogope jambo lolote, huu mwezi wa sita ni mwezi wa kutendewa mambo makuu katika maisha yako, usiogope jaribu lolote anasema furahi na kushangilia. Bwana ametenda mambo makuu maghali hapa, tumeona makuu toka asubuhi, tumeona makuu mpaka tumefikia kuugawa mwaka. Mungu amepigana kiume upende wetu, amepigana juu ya ndoa yako, afya yako, juu ya ndugu zako, amepigana juu ya Kanisa, hakika anasema ee nchi furahi na kushangilia kwa kuwa Bwana ametenda mambo makuu.

Biblia inasema: Msiogope enyi wana wa kondeni, maana malisho ya jangwnai yanatoa miche, na huo mti uzaao matunda yake, mtini na mzabibu unatoa nguvu zake. Furahini basi enyi wana wa Sayuni, mkamfurahie Mungu wenu, kwa maana yeye huwapa mvua ya masika, kwa kipimo cha haki, naye huwanyeshea mvua, mvua ya masika na mvua ya vuli, kama kwanza. Na sakafu za kupepetea zitajaa ngano, na mashinikizo yatafurika kwa divai, na mafuta; maana ya watu wa Sayuni ni watu wamchao Bwana kama wewe, unapaswa kufurahi ata unapokuwa na majaribu. Anasema atawanyeshea mvua ya masika kwa kipomo cha haki, mvua ni Baraka, neema.

Biblia inasema: Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu,jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu; wiki hii wiki ya kupokea yaliyomema, na wiki ya majibu yamesogezwa, anasema nami Bwana nitawarejeshea ile miaka iliyoliwa na nzige. Anakwenda Bwana kurejesha mahusiano yako kati ya ndugu na ndugu, rafiki na rafiki, mke na mume, mtoto na mtoto, taifa na jamii, haki zako zinakwenda kurejeshwa asema Bwana wa majeshi.
Biblia inasema: nanyi mtakula chakula tele na kushiba, na kulihimidi jina la Bwana Mungu wenu, aliyewatendea mambo ya ajabu, na watu wangu hawatatahayari kamwe. Nanyi mtajua ya kuwa mimi ni katikati ya Israeli, na yakuwa mimi ndimi Bwana Mungu wenu, wala hakuna mwingine, na watu wangu hawatatahayari kamwe
UKITAKA KUJUA MENGI KUHUSU MIUJIZA NA ISHARA ZINAZOTOKEA KATIKA KANISA HILI BASI TEMBELEA BLOGU YAO
www.nabiiflora.blogspot.com
Facebook: Nabii Flora Peter
JINSI YA KUFIKA KANISANI: Kama unatokea Mwenge panda magari ya Tegeta, shuka Mbezi Mbuyuni na uliza kanisani kwa Nabii Flora. Sio mbali sana unaweza kutembea hata kwa mguu,

Comments