RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

JOHN SHABANI AMPOKEA ALINE VYUKA DAR ES SALAAM AKITOKEA MAREKANI

John Shabi ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania alikuwa na haya ya kusema juu ya safari ya mgeni wake kutoka Marekani, "Ashukuriwe Mungu wetu kwa kumfikisha Aline Vyuka salama hapa Bongo. Najivunia kuwa na mwanafunzi mwenye bidii kama huyu. Tumekuwa tukifanya masomo ya uimbaji (Singing lessons) kwa njia ya mtandao na sasa nimempokea rasmi Dar es salaam baada ya safari ndefu kutoka huko kwao kwa Mr. Obama. Tayari kazi rasmi ya kuandaa nyimbo kwa mfumo wa audio na video imeanza."

Kushoto ni John Shabani akifuatiwa na mgeni wake kutoka USA, mwana dada Aline Vyuka pamoja na rafiki zetu wengine baada tu ya kutua Dar es salaam


Hapa ni shilo studio, sehemu ya kupata kifungua kinywa na msosi

Hapa kazi imeanza ndani ya shilo studio

Comments