RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MATUKIO YA TAMASHA LA UZINDUZI WA ALBAMU MPYA YA "NITASEMA NDIYO KWA BWANA" NA LIVE RECORDING ILIFANYIKA

Siku ya Jumapili 27.07.2014 Furaha Isaya aliweza kutimiza ndoto yake ya kuzindua albamu yake ya "NITASEMA NDIYO KWA BWANA" Ilikuwa siku ya pekee sana, waimbaji mbalimbali walifika mahali pale kumuunga mkono mwimbaji mwenzao. Furaha Isaya aliweza kuimba LIVE na sio Playback kama waimbaji wengine wengi wanavyofanya. Siku hiyo kulifanyika LIVE RECORDING. Watu walionekana kufarahishwa na uzinduzi huo na kubwa zaidi pale alipoingia Furaha kwa wimbo wake ambao ulifanya watu wabaki kimia kumuangalia kwani ulikuwa na upako wa ajabbu sana, binafsi nilihisi ubaridi mwilini mwangu kutokana na upako huo.

Tamasha lilianza mida ya saa 8:00 mchana na kumalizika 1:00 jioni katika ukumbi wa URAFIKI SOCIAL HALL uliopo Sinza Legho

Kulikuwa na waimbaji mbalimbali kama vile Ambwene Mwasongwe, Enock Jonas, Mess Jacob Chengula, Silas Mbise, Joshua Makondeko, Neema Gasper, Joyce Ombeni, Lilian, John Shaban, Julieth Deougras na wengine wengi kama wanavyoonekana katika tangazo hapo chini.

TUONE BAADHI YA MATUKIO

Furaha Isaya akiingia ukumbini

POSTER, TICKETS NA CARD ZA MWALIKO ZIMETENGEZWA NA RUMAFRICA
WASILIANA NASI KWA SIMU +255 715 851523

Poster
Kadi ya Mwaliko

Tiketi za kuingilia







Rose Rwakatare akiwa na mgeni rasmi
Rose rwakatare akichukua picha moja mbili kwa mgeni rasmi
MC Joshua Makondeko akimkabidhi mgeni rasmi hotuba ya Furaha Isaya
Mgeni Rasmi akiiombea albamu ya Furaha Isaya

 
Furaha Isaya na Rose Rwakatare


 Judith Dougras

ANGALIA MATUKIO MENGINE KWA KUBOFYA "Read More" HAPO CHINI


 Rose Rwakatare



 









 John Shaban














Comments