RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MUONEKANO WA MODEL WA VIDEO YA ICE CREAM ALIVYOBADILIKA BAADA YA KUPATA MATIBABU YA DAWA ZA KULEVYA

Tunakila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kile alichokifanya kwa huyu dada kwa kupitia juhudu za mwanadada RAY C ambaye zamani alikuwa akitumia madawa ya kulevya na baadae kuachana nayo. Ray C baada ya kuachana na madawa ya kulevya aliamua kufungu kituo chake kinachoitwa RAY C Foundation kwaajili ya kuwaokoa watumiaji wa madawa ya kulevya



Doreen video model wa Ice cream by Noorah alijikuta kwenye hali mbaya baada ya kuathirika na dawa za kulevya lakini Ray C akiwa na foundation yake walimchukua na kumpeleka kupata matibabu.
Hivi sasa Ray C ame post picha ya Doreen na kuonyesha jinsi alivyobadirika baada ya kupata matibabu. Hapo chini ni picha kabla hajapata matibabu na ya juu ni Doreen mpya. Caption ya chini aliandika Ray C baada ya kupost muonekano mpya wa Doreen



Comments