Rumafrica inawapa hongera sana watumishi wa Mungu kwa kuonyesha mfano mzuri kwetu sisi vijana. Kitendo mlichofanya kinaonyesha ujasiri na msimamo dhabiti katika hudumayenu ambayo mtakuwa mnaiendeleza. Ndoa yenu imeleta changamoto kwetu vijana ambao bado hatujaoa. Mmetimiza moja ya amri ya Mungu ambayo inatusisitiza kuoa na kuolewa. Tunawaombeni sana mzidi kuktutia moyo na kutushauri sisi ambao bado tunasubiri kuoa au kuolewa. Mungu azidi kuwabariki na kuistawisha ndoa yenu izidi kuchanua.
Wenu katika Bwana
Rulea Sanga
RUMAFRICA FOR ALL NATIONS
Wenu katika Bwana
Rulea Sanga
RUMAFRICA FOR ALL NATIONS
Rose Mushi na mume wake Nicodemus Shaboka Jr.
Comments