RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

TIMU YA SAA YA MAVUNO WAKISHIRIKIANA NA MAKANISA YA KIPENDEKOSTE WAMEKUANDALIA MKUTANO MKUBWA WA INJILI YA TANZANIA

Wakazi wa wilaya ya Kinondoni na wilaya zingine hapa jijini Dar, mnakaribishwa sana katika mkutano huu mkubwa ambao umeandaliwa kwaajili yenu na sio kwa mtu mwingine. Umefika wakati wa kusikiliza Neno la Mungu kwa kupitia watumishi wake. Leo hii Mungu anataka kusema na wewe kwa kupitia mkutano huu mkubwa wa Injili. Kazi ya Bwana itaenda kuthihirika katika viwanja vya TP Sinza Darajani. Mungu wetu ataenda kusema na mioyo ya watu na kutatua matatizo yetu. Rafiki yangu na ndugu yangu hudhuria mkutano huu na Mungu atatenda. Tunamwamini Mungu kwa kila jambo. USIKOSE

Comments