RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DOWLOAD NYIMBO ZA SAVIANA DAFFI FREE SASA

Habari mdau wa muziki wa Injili,

Tunafurahi kumtambulisha kwenu Saviana Daffi ambaye ni mwimbaji wa Gospel nchini Tanzania. Saviana tayari ametoa album yenye nyimbo 7 za kumtukuza Mungu. Tushirikiane sote kusambaza ujumbe wake kwa Watanzania wote kupitia muziki wake.

Link za Saviana Daffi ni hizi hapa:

https://mkito.com/song/ee-mungu-unisamehe/2524

https://mkito.com/song/unaweza/2523

Comments