RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VUNJA MBAVU NA MAHOJIANO KATI YA ALFA MSANJILA NA FRANCIS MWELA WA AFRICA GOSPEL DANCERS (AGD) WALIPOTINGA KATIKA OFISI ZA RUMAFRICA

Wiki iliyopita tuliwapa dondoo juu ya ma-dancer hawa ambao wako sita wanaounda kundi la AGD na wameshiriki kucheza katika albamu zaidi ya 18 za waimbaji maarufu sana wa nyimbo za Injili. Mbali na ku-dance pia ni wajasiliamali kwa mfano Alfa Msanjila ni mkulima mkoani Dodoma, ameamua kuwekeza katika kilimo, wakati Francis ni mchekeshaji katika runinga ya ATN hapa Bongo
Kulia ni Alfa Msanjila na kushoto ni Francis Mwela wakiwa kazini

Walipofika Rumafrica waliweza kufunguka na kueleza kile wanachofanya na walijaribu kutuonyesha kwa vitendo. Rumafrica ingependa na wewe ushiriki uhondo huu wenye upako wa ajabu. KARIBUNI

Kulia ni Alfa Msanjila na kushoto ni Francis Mwela wakiwa kazini
SASA ANGALIA NA KUSIKIA MAHOJIANO KATI YA RUMAFRICA NA VIJANA WA AGD

Comments