RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NABII DR. LUCY NATASHA (KENYA) NA MTUME PETER NYAGA WATASHUSSHA UWEPO WA MUNGU KATIKA SIKU 5 ZA UREJESHO VIWANJA VYA SHULE YA WAZAZI TABATA KIMANGA MWISHO

Mtume wa Nyaga wa Fireeeeeeeee...!!!! anaenda kuwasha moto katika mkutano mkubwa wa Injili utakaofanyika hivi karibuni. Watu watarejeshewa baraka zao na Mungu ataonekana katika maisha yao kwa miujiza na ishara.

Unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha unakuja na mwenzako ili apokee baraka utakazozipokea kwa jina la Yesu. Nabii Dr. Lucy Natasha ameacha kazi zake nchini Kenya kwaajili yako na mimi ili tupone. Mungu anamtumia kwa njia ya pekee sana, na amekuwa baraka kwa mataifa mbalimbali. Ninachotaka kusema ni kwamba maneno mengi hayasaidii ila vitendo vinasaidia sana.

Comments