RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PICHA: MC CHAVALA ALIVYOUPIGA CHINI UKAPELA NA KUANZA MAISHA MAPYA.

Maneno aliyoandika komediani MC Chavala baada ya kuaga ukapela"
....Basi ndio ikawa hivyo bwana! Sherehe za kumsend-off "Queen Happiness" zikafanana sana....Oooh I mean zikafana sana!!
Thank you Street Gospo Ministri au Emanuel Mkandamizaji kwa company yako!
*Basi watu wakawa safarini siku ya Ijumaa kutoka pande mbalimbali za nchi kuelekea Vwawa-Mbozi, Mbeya ili wajue "Je kweli King Chavala yuko serious au anafanya serious comedy ya kuoa hahaa"
.......na mambo yakaendelea vema,na ndivyo ikawa hivyo bwana....Inafurahisha sana!!"







Comments