RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

WAFANYABIASHARA WA CONGO WACHUMA MATUNDA KUTOKA KWA ASKOFU KAKOBE KATIKA SEMINA YAO YA WAFANYABIASHARA

Bishop Zachary Kakobe yupo nchini Congo kwenye huduma ya evangelistic mission in the City of Likasi,DR Congo.Kwa mujibu wa Twitter yake katika mtandao wa kijami amesemakua yupo kwenye seminar na wafanya biashara.

Wafanyabiashara nchini Congo wamemwandalia semina askofu Kakobe ili aweze kuzungumza nao na kuwabariki katika biashara zao. Kabla ya kuwaombea wafanyabiashara hao alizungumza nao na kusemakua “How to prosper God’s way”. To sum it up, he said that God wants us to prosper in all things JUST AS OUR SOUL PROSPERS (3 JOHN 1:2) Material prosperity without the prosperity of our souls, is not prosperity God’s way. Jesus tells us that we are to seek FIRST the Kingdom of God and his righteousness, and all these other things will be given to us in addition (MATTHEW6:33). Godly prosperity is meant to enable us to minister unto Him more of our substance (LUKE 8:1-3).
Kwa hisani ya Unclejimmytemu.com tazama picha zifatazo hapo chini.























Source: Uncle Jimmy

Comments