CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA NDANI YA KIJIJI CHA USHORA KIBAYA - SINGIDA: WAIMBAJI, WACHUNGAJI, WAANDISHI WALIWEZA KUPIGA PICHA ZA KUMBUKUMBU SIKU YA JUMAPILI 16.11.2014

Mwandishi na mpiga picha: Rumafrica

Ilikuwa siku ya Jumapili ya tarehe 16.11.2014 ambapo  wanamuziki wa Injili Tanzania chini ya Chama cha Muziki wa Injili Tanzania  (CHAMUITA) waliweza kufanya husuma katika kijiji cha Ushora Kibaya kwa kufanya  umisheni, kuhubir Injili, kuwaombea wenye shida mbalimbali, kupanda miti na kuliombea Taifa la Tanzania..
 Kutoka kulia ni Mh.Martha Mlata,  Mtangazaji wa Star TV Sauda Mwilima na Jane Misso

Rumafrica ilibahatika kuongozana na waimbaji hawa mpaka kijiji cha Ushora Kibaya kutaka kujua ni kitu gani kinaenda kufanyanyika kwa wanakijiji hao.
 Jicho letu liliweza kuonamengi  katika kile kijiji, kwanza ni upendo wa wanakijiji kwa wageni wao, pili ukarimu wa wanakijiji na ushirikiano, uaminifu kwani kuna watu waliweza kupoteza miwani lakini wanakijiji hao walipoiona waliweza kurudisha. Hakika kile kijiji ni kijiji cha kuigwa sana.

Pia kulikuwa na mwitikio mkubwa sana wa wananchi wa eneo hilo, na wengine walikuwa wanatoka katika vijini vya karibu na vya mbali, kuja mkutanoni kushirikiana na Wanaushora Kibaya. Huu unaonyesha ushirikiano wa dhati wa wanakijiji hao.Na walionyehs kuwa walikuwa na kiu ya muda mrefu ya kupokea injili kutoka kwa watu mabalimbali ukiachana na injili inayohubiriwa hapo kikjiji.
Kikubwa kilichowashangaza wanakijiji hao ni kuona waimbaji maarufu sana Tanzania na nje ya Tanzania wameacha kazi zao na kufunga safari ndefu kufika katika kijiji chao kwaajili ya kuponya mioyo yao na kuinua imani yao, hii iliwashangaza sana wanakijiji hao.

Tulibahatika kuonnge wanakijiji kuhusiana na mbunge wao wa viti maalum (CCM) Mh. Martha Mlata, nao waliweza kusema yale ya moyoni mwao kuhusiana na mbunge wao. Walimshukuru sana Mh. Martha Mlata kwa kuweza kuwa chachu kijijini kwao kwakuleta  maendeleo hapo  kijijini hasa kw nija ya kutoa misaada mbalimbali na kuwajenga kimawazo. Mh. Martha Mlata ambaye ni mchapakazi mzuri kijiji kwao ameweza kuwafundisha wanakijiji hao jinsi ya kujitegemea na kuwa watu wanaopenda kufanya kazi na sio kukaa mitaani.

Mh. Martha Malata pia amekuwa mstari wa mbele sana katika kutangaza injili katika kijiji chake na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kuhakikisha waimbaji hawa wanafika kijijini kwake. Mungu amempa neema ya uimbaji na pia ni mlezi wa Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania. Babu yake alikuwa ni mtu wa kwanza kuleta umisheni katika kijiji cha Ushora. Rumafrica ilibahatika kukutana na babu huyo na kuongea nayo machache (utaweza kumuona katika post zetu zijazo)

Waimbaji wa nyimbo za injili, watangazaji, waandishi wa blogs, wainjilisti, atu wa kamera, walimu, maaskofu na wachungaji waliweza kupiga picha za kumbukumbu katika kijiji hicho na hii ilikuwasiku ya Jumapili kabla ya ibada kuanza rasmi. Tuone baadh ya picha za waimbaji na wachungaji.

 Beatrice Mwaipaja


 Tumaini Njole
 Camera man Dany na Betrice Mwaipaja

Rulea Sanga (kulia) na Beatrice Mwaipaja


Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima (kushoto) na Mch. Vaileth wa Arusha
 Beatrice Mwaipaja (kushoto) na Rulea Sanga
 Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima (kushoto) na Jane Misso
  Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima (kushoto) na Jane Misso
 Tumaini Njole (kushoto) akifuatia Mh. Martha Mlata (katikakati)
 Mh. Martha Mlata (kushoto) na Yeronimo Mwalo
  Mh. Martha Mlata (kushoto)na mzee ambaye ni bubu lakini anaimba
  Kutoka kulia ni Mh.Martha Mlata,  Mtangazaji wa Star TV Sauda Mwilima na Katibu Mwenezi wa CHAMUITA Stella Joel
 Kutoka kulia ni Mwinjilisti kutoka Arusha, Enock Jonas, Tumaini Njole, Madam Ruti na Ibarahim Sanga
 Tumaini Njole
 Tumaini Njole
 Kutoka kulia ni Beatrice Mwaipaja, Ibrahim Sanga na Tumaini Njole
  Kutoka kulia ni Beatrice Mwaipaja, Madam Ruti na Tumaini Njole
   Kutoka kulia ni Beatrice Mwaipaja, Madam Ruti na Tumaini Njole
 Kutoka kushoto ni Madam Ruti, Edson Mwasabwite, Tumaini Njole, Enock Jonas na aliyechuchuma ni Beatrice Mwaipaja
  Kutoka kushoto ni Madam Ruti, Edson Mwasabwite, Tumaini Njole, Enock Jonas na aliyechuchuma ni Beatrice Mwaipaja
  Kutoka kushoto ni Madam Ruti, Edson Mwasabwite, Tumaini Njole, Enock Jonas na aliyechuchuma ni Beatrice Mwaipaja
 Kutoka kulia ni Madam Ruti, Yeronimo Mwalo, dada kutoka Arusha, Beatrice Mwaipaja, Enock Jonas, Edson Mwasabwite na Tumaini Njole
 Kutoka kulia ni Jane Misso, Ibrahim Sanga na Stella Joel
 Mchungaji Vaileth kutoka Arusha
 Kulia ni Enock Jonas na kushoto ni Beatrice Mwaipaja
 Kutojka kulia ni Ibrahim Sanga, Enock Jonas, dada yetu, Beatrice Mwaipaja, dada kutoka Arusha
 Enock Jonas wa pili kutoka kulia

ANGALIA PICHA ZINGINE KWA KUBONYZA HAPO CHINI KIDOGO PALIPOANDIKWA "READ MORE"


 Beatrice Mwaipaja
  Beatrice Mwaipaja
  Beatrice Mwaipaja
  Beatrice Mwaipaja
  Beatrice Mwaipaja
  Beatrice Mwaipaja
  Beatrice Mwaipaja (kulia) na Dany Camera man

 Mtangazaji wa Star TV, Sauda Mwilima (kushoto) akiwa na Mch. Vaileth kutoka Arusha
  Beatrice Mwaipaja
  Beatrice Mwaipaja (kushoto) na Rulea Sanga
 Jane Misso na Sauda Mwilima wa Star TV (kushoto)
  Jane Misso na Sauda Mwilima wa Star TV (kushoto)
 Mch. Vaileth (Arusha)
 Mch. Vaileth (Arusha)
 Mch. Vaileth (Arusha)
 Mch. Vaileth (Arusha)
 Mch. Vaileth (Arusha)
0