RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MWALIMU WA SAUTI MTUMISHI JOHN SHABANI "PRINCE JOHN" AMEACHIA ALBAM MPYA INAYOITWA "MIMI MTOTO WA MFALME"




 Baada ya kimia kingi kumgubika nguli wa nyimbo za Injili Tanzania na mwalimu wa sauti kwa waimbaji, sasa ameachia audio CD yake inayokwenda kwa jina la "Mimi Mtoto wa Mfalme". Katika albamu hii kuna nyimbo kidekekde za kumtukuza Mungu na zenye kubadilisha maisha ya watu kwa ujumbe uliomo ndani yake.

Mwimbaji huu ambaye amekuwa akijituma kuwafundisha waimbaji mbalimbali pamoja na kwaya mbalimbali kwa sasa ameamua kuja kivingine kiuimbaji. Hizi ni ndondoo tu ila mambo mengine mtayapata kupitia TV yetu ya Rumafrica Online TV hivi karibuni. Cover la Audio CD ya John Shabani limetengezwa na Rumafrica +255 715 851 523

Cover la Audio CD ya John Shabani

Cover la Audio CD ya John Shabani


Cover la Audio CD ya John Shabani

Comments