RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

SONGI JIPYA LA CHRISTINA SHUSHO KUTOKA TANZANIA LA NINANG'ARA KUTIKISA DUNIA.





Christina Shusho a.k.a The Queen akiwa anajianda kwenda Afrika Kusini kufanya video mbili na kampuni ya Link Production inayo ongozwa na Director mkongwe J Blessing aishie Kenya…..leo amedondosha video yake mpya NINANG’ARA iliyo tengenezwa na kampuni Mind Vision Media,produced by Tim_Still Alive chini ya Director Tiger.

Ukitazama uandaaji wa video hii umetumia location za mwambao wa pwani yani Baharini pamoja na sehemu ndogo ya Hotel.Kilicho nivutia zaidi ni Qulity ya video,pamoja na kifaa cha uchukuaji picha za angani (Droin,or flying Camer) na jinsi ambavyo Editar ameitendea haki video hii.Ukweli ni kwamba waimbaji wa muziki wa Gospel (baadhi) wameamua kuwekeza katika kazi zao ili kufika mbali katika kujitangaza kimataifa na kuacha ile dhana ya kufanya shooting nyumbani kwa tajiri flani au sehemu za maua. Unclejimmytemu.com inakupongeza The Queen Christina Shusho kwa kazi nzuri,mdau wangu chukua time yako kutazama video hiyo hapo chini kisha niachie maoni yako nitamfikishia Christina Shush

Comments