WAIMBAJI KUTOKA CHAMA CHA MUZIKI WA INJILI TANZANIA WAKIJITAMBULISHA KWA WANAKIJIJI WA USHORA KIBAYA -SINGIDA
Baada ya waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania kuwasili mkoani Singida wilaya ya Iramba kijiji cha Ushora Kibaya, siku ya pili waimbaji waliweza kufika katika eneo la kufanyia huduma ya umisheni katika viwwanja vya kanisa la KKKT Ushora Kibaya. Waimabaji waliweza kujitambulisha majina yao na maeneo wanakotoka pamoja na nyimbo zao. Utambulisho huu ulikuwa faraja sana kwa wanakijiji hao kwani kwa muda mrefu wamekuwa wakiwasikia waimbaji hawa redio au katika TV, lakini siku hiyo wanakijiji waiweza kuwaona LIVE.
Mwenyeji wao Mh. Martha Mlata ambaye ni Mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Singida na mlezi wa CHAMUITA aliwashukuru sana wanakijiji kwa kuitika mwaliko na pia aliwashuru waimbaji kwa ushirikiano wao na umoja wao,
Lengo la waimbaji hawa kufika Ushora Kibaya ilikuwa kutoa huduma ya UMISHENI, kuhubiri, kuliombea amani Taifa la Tanzania, kuwaombea wenye shida mbalimbalim. Tamasha hili lilihudhuria na watu wengi sana hata kama zilikuwa
Kutoka kushoto ni Enock Jonas, Beatrice Mwaipaja, Tumaini Njole na Mh. Martha Mlata
Kutoka kushoto ni Enock Jonas, Ibarahim Sanga, Beatrice Mwaipaja, Tumaini Njole na Mh. Martha Mlata
Kutoka kulia ni Mch Bupe Kingu, Edson Mwasabwite, Ibrahim Sanga, Tumaini Njole
Kutoka kulia ni John Shabani, StellaJoel, Enock Jonas. Ann Annie, Pafii, Cosmos Chidumle, Jane Misso
Kutoka kushoto ni Ibarahim Sanga, Beatrice Mwaipaja, Mh. Martha Mlata
Kutoka kulia ni Beatrice Mwaipaja, Ibrahim Sanga, Edson Mwasabwite
Kushoto ni Mch. Bupe Kingu
Mch. Bupe Kingu (kushoto) na Edson Mwasabwite
Ibrahim Sanga
Mh. MArtha Mlata (kushoto) na Jane Misso
Cosmos Chidumle
Cosmos Chidumle
Cosmos Chidumle
ANGALIA MATUKIO ZAIDI KWA KUBONYEZA READ MORE HAPO CHINI KIDOGO
Comments