RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BAADHI YA WAIMBAJI WA GLORIOUS WORSHIP TEAM (GWT) WASHIRIKI KATIKA DVD MPYA YA UNIONGOZE YA EPHRAIM SEKELETI (ZAMBIA)

Ephraim Sekeleti kutoka Zambia ameweza kuwashirikisha baadhi ya waimbaji wa kikundi cha GWT katika video yake ya UNIONGOZE katika mkoa wa Mwanza Tanzania. Kama unavyoona katika picha hapo chini jinsi watumishi wa Mungu wakifanya kazi ya Mungu wakiwa wamependeza kabisa, na hii ni kutaka kutuonyesha ya kwamba huyu Mungu tunayemuabudu kila siku anatakiwa kufanyiwa vitu vizuri kwa utukufu wake ili hata mataifa wajue kwa Yesu ni kuzuri. Nisiongee sana ila tazama hizi picha zilizopigwa na Kiongozi wa GWT Emmanuel Mabisa
 Ephraim Sekeleti









ENDELEA KUTEMBELEA BLOGU HII UTAONA MUENDELEZO WA MATUKIO HAYA

Comments