RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MBUNGE NA WAZIRI WA MALIASILI TANZANIA MH. LAZARO NYALANDU AKIFANYA MAONGEZI NA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI MJINI DODOMA

Picha zimepigwa na Rumafrica
Hii ilikuwa siku ya Jumatatu ya tarehe 17.11.2014 ambapo waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania chini ya Chama Cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) na wachungaji wakiwa wametokea katika kijiji cha Ushora Kibaya mkoani Singida kwa huduma ya UMISHENI waliweza kufika Bungeni Dodoma kwa mwaliko ulioandaliwa na viongozi wa serikali akiwemo Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida kwa tiketi ya CCM, Mh. Martha Mlata ambaye pia ni mlezi wa CHAMUITA .
Rulea Sanga (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
Waimbaji na wachungaji waliweza kuhudhuria kikao cha Bunge kilichokuwa kikiendelea Bungeni hapo, na baada ya hapo ndipo Mh. Nyalandu aliweza kukaa na watumishi wa Mungu hawa na kuongea mengi juu ya faida za kumtumikia Mungu na pia waimbaji kutambua karama yao ya uimbaji. Pia aliweza kuwatia moyo watumishi wa Mungu kwa kazi wanayofanya ya uimbaji kuwa hata kama kuna changamoto, wao wamuangalie Mungu tu.

Mh. Lazaro Nyalandu

Mh. Nyalandu aliweza kuwaandalia chakula cha mchana waimbaji na wachungaji ambapo waliweza kula na kunywa pamoja. Mh. Nyalandu ambaye alionekana kuvutiwa sana na waimbaji hawa aliwaomba kuwaandalia safari ya kwenda kuangalia mbuga za wanyama na kujifunza mengi juu ya utalii wa hapa nchini Tanzania.

Rumafrica ipo katika mchakato wa kuandaa clip ya maomngezi haya kwahiyo endelea kutembelea Rumafrica
 Mh. Martha Mlata (kushoto) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Kutoka kushoto ni Jonas Enock, Stella Joel, Mh. Martha Mlata, Mh. Lazaro Nyalandu, Edson Mwasabwite

 Ann Annie kutoka Arusha
 Kutoka kulia ni Edson Mwasabwite, John Shabani na Cosmos Chidumle

 Kutoka kulia ni Tumani Njole, Jane Misso na Ann Annie
 wa nne kutoka kushoto mezani ni Mh. Lazaro Nyalandu
 Kutoka kushoto ni Mh. Lazaro Nyalandu, Mch Bupe Kingu, Lilian, Paffi, Joyce Ombeni, Madam Ruti,



 Aliyesimama (jina lake halikupatikana) aliweza kuchangia milioni 1 baada ya Mh. Lazaro Nyalunda kumuomba kuwaunga mkono waimbaji.






BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI YA KIDOGO KUONA MATUKIO MENGINE MENGI YA SIKU HII
 Madam Ruti

Madam Ruti
 Beatrice Mwaipaja
 Mch Bupe Kingu
 Ann Annie
 Tumaini Njole

Joyce Ombeni

Joyce Ombeni
 Beatrice Mwaipaja (kushoto) akifunga kikao  kwa maombi
Jane Misso na Mh. Lazaro Nyalandu

 Enock Jonas Kulia na Mh. Lazaro Nyalandu
 Cosmosi Chidumle (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
Tumaini Njole (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu

 Ann Annie (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Paffii (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Edson Mwasabwite (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Yeronimo Mwalo (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Madam Ruti (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Beatrice Mwaipaja (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Lilian (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu

 Kutoka kushoto ni Stella Joel, Paffii, Yeronimo Mwalo, Enock Jonas, Beatrice Mwaipaja, Mh. Lazaro Nyalandu, Rulea Sanga, Cosmos Chidumle na John Shabani
 Ktoka kulia ni Beatrice Mwaipaja, Madam Ruti, Mh. Lazaro Nyalandu na Edson Mwasabwite
 Stella Joel (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Joyce Ombeni (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Rulea Sanga wa pili kutoka kulia
  Rulea Sanga wa pili kutoka kulia

 Mh, Martha Mlata (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Lilian (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu
 Jane Misso (kulia) na Mh. Lazaro Nyalandu