RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

VALENTINE NDIO HII SASA, WATU KUMINYANA NDANI YA PRINCES HALL SINZA MAPAMBANO-DAR

Waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania wataonyesha upendo siku ya wapendao ndani ya ukumbi tulivu wa Prince Hall Sinza Mapambano. Siku hiyo tutaona nani anampenda nani na ilikuwaje wakapendana. Tukumbuke Yesu Kristo alisisitiza UPENDO kwa kila mmoja, kwahiyo Get Together Entertainment wameon ni busara kuandaa mahali ambapo watu wataweza kukaa pamoja na kuonyesha love. Nitakushangaa kukuona haupo katika tukio la kipekee kutokea kwa mwaka. Njoo tuonyeshe love..Peace


Comments