RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DINA MGOMERA AFUNGUKA JUU YA WATUMISHI WA MUNGU KUTOISHI NA YALE WANAYOWAFUNDISHA WAUMINI WAO


Dina Mgomera

Dina Mgomera ni mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania na Mungu ameweza kumsaidia kutoa albamu yake ambayo inaenda kwa jina la NINA HAJA NAWE. siku ya leo ameweza kutoa machache juu ya watumishi wa Mungu ambao wamekuwa wakitufundisha kwa njia ya uimbaji na mahubiri, lakini wao hawafanyi yale wanayoyafundisha kwa waumini wao. Sikiliza Clip hii.

Comments