RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DINA MGOMERA ATOA MACHOZI NA WAHUBIRI KUWAKATISHA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WAWAPO MADHABAHUNI WAKIIMBA

Kwa kupitia Rumafrica Online TV, mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania, Dina Mgomera msomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ambaye kwa neema ya Mungu amemuwezesha kupata degree yake. Akiongea na Rumafrica amesema huwa anajisikia vibaya kuona watumishi wa Mungu kuichukulia huduma yao ya uimbaji kama ni moja ya kiburudisho. Msikilize hapa akifunguka na kutoa machozi yake.

Comments