RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

DINA MGOMERA AWAIBUKIA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI WANAOCHA KUMTUMIKIA MUNGU NA KUIMBA NYIMBO ZA KIDUNIA

Dina Mgomera
Dina Mgomera ambaye kwa sasa anatamba na albamu yake ya NINA HAJA NAWE ameweza kufunguka juu ya waimbaji wanaocha kumtumikia Mungu kwa karama zao walizopewa za uimbaji na kukimbilia kuimba nyimbo za kidunia. Hii haipendezi sana kuona wewe ambaye Mungu amekuinua katika huduma yako ya uimbaji wa nyimbo za Gospel na ukajulikana na watu wengi dunia, leo hii unaachana na kuona ni upuuzi kumuimbia Mungu na badala yake unaenda kuimba nyimbo za kidunia na pengine utaona mwimbaji huyu anaipenda nyimbo za mapenzi kabisa. Tunamuabisha Mungu wetu. MSIKILIZE

Comments