RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MSANI WA MUZIKI WA KIDUNIA KANYE WEST ABADILISHA BIBLIA, HAYA NI MAKUBWA YA DUNIA!!!

Msanii wa muziki wa kidunia kwnyebwest aanzisha biblia yake kwa kuibadilisha biblia halisi huku akiondoa kila neno la Mungu lililo katika biblia halisi.

Kanye west hujulikana sana kwa maringo yake,lakini kwa kweli Kanye Westasingekufuru na kujitambulisha kama mungu katika biblia hiyo.
Kanye West

Kitabu hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa kwa jina ”Yeezus” na amini usiamini kila neno la Mungu katika kitabu hicho limeondolewa na badala yake msanii huyo wa muziki wa kufoka foka ameweka jina lake.
Kulingana na gazeti la The Independence nchini Uingereza,kitabu hicho kinasemakuwa katika kizazi hiki ,Kanye West ndio mkubwa na vilevile kiongozi wa kidini.

Kitabu hicho kinaongezeakwamba”katika utangulizi wetu tunamsherehekea Kanye West na vile alivyotufanyia katika maisha yetu”

Ijapokuwa Kanye hajatoa tamkololote kuhusu wadhfa huo aliojipatia,amekuwa akijifananisha na Mungu hapo mbeleni.
”Mungu alinichagua mie,alinitengezea njia.Mimi ni chombo cha mungu”,alisema mwaka2009.

”Lakini kinachoniudhi maishani mwangu ni kwamba sitawahi kujiona nikicheza muziki mojakwa moja”.,aliongezea.
Wasanii wengine waliofananishwa na Yeezy ni Marilyn Monroe na Michael Jackson.

Comments