RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UNAJUA NI KWANINI MUNISHI WA MALEBO HAKUIMBA KATIKA TAMASHA LA PASAKA LA MSAMA PROMOTION


VIDEO:HIZI HAPA NI SABABU TANO ZILIZO MFANYA FAUSTIN MUNISHI KUTO PERFORM TAMASHA LA PASAKA ALEX MSAMA AZIELEZA.


Kufatia minong’ono kupitia mitandao ya jamii facebook,Instagram pamoja na wadau wa muziki wa Gospel Tanzania kumlaumu Alex Msama muandaaji wa Tamasha la Pasaka kwa kitendo cha kumkatisha Faustine Munishi kuto imba katika tamasha la pasaka lililo fanyika Tarehe 5/4/2015 katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam…..Ukiacha hilo sound iliyotumika katika event hiyo haikua nzuri kutokana na kukatika katika kila mara hali iliyopelekea wapenzi wa tamasha hilo kukerwa na uandaaji wa tamsha hilo……Kupitia kipindi cha Chomoza ya Clouds TV kilichoruka siku ya jana LIVE Bw.Alex Msama alifafanua vizuri kwa nini muimbaji Faustine Munishi akuimba na kwa nini bado kila mwaka sound imekua tatizo katika tamasha hilo ……..

Kwa hisani ya Chomoza ya Clouds TV chukua time yako kutazama Interview ya Msama akiwa live siku ya jana.

Comments