RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

CELLINE THEOPHIL NA BENEDICT KIANGIO AJIUNGA RASMI NA CHAMUITA

Waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Benect Kiangilo na Celline Theophil wamejiunga na Chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA) kama wanachama na wameshajipatia vitambulisho vyao rasmi vinavyoandaliwa na Rumafrica. Kuanzia sasa wa haki zote katika chama, na chama kipo tayari kutetea haki za kazi zao za kimuziki na kuhakikisha kinakuwa bega kwa bega wakati wa shida na raha.

Comments