RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EXCLUSIVE: FLORA MBASHA AKIWASHA MOTO KWA NJIA YA UIMBAJI NDANI YA RUMAFRICA

Flora Mbasha mabye ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania aliweza kufika katika ofisi ya Rumafrica na kuweza kufanya maojiano na Rumafrica Online TV juu ya tamasha lake la Jumapili 14/06/2015 ndani ya Ubungo Plaza. Flora baada ya mahojiano hayo aliweza kuwaburudisha wadau wake kwa kuwapa zawadi ya wimbo wake anaoupenda. Kama unahitaji kufanya mahojiano nasi basi wasiliana nasi kwa simu  +255 715 851 523
Flora Mbasha ndani ya Rumafrica akifanya mahojiano juu ya tamasha lake

Comments