RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EXCLUSIVE: FLORA MBASHA AORODHESHA WADHAMINI WA TAMASHA LAKE NA KUWASHUKURU

Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili Tanzania Flora Mbasha akiongea na Rumafrica Online TV juu ya tamasha lake na pia kuwashukuru wadhamini wa tamasha lake la siku ya Jumapili 14/06/2015 ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza Dar. Alisema yeye hana cha kuwalipa ila Mungu azidi kubariki kazi za mikono yao na zikawe na mafanikio. Sasa naomba uungane na mimi kumsikiliza Flora Mbasha.

Flora Mbasha ndani ya Rumafrica akifanya mahojiano na Rumafrica Online TV

Comments