RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PITAPITA ZANGU MITANDAONI NIMEKUMBANA NA CLIP YA FLORA MBASHA AKIFANYA MAZOEZI KWAAJILI YA TAMASHA LAKE.

Rumafrica inatoa salute kwa mtumishi wa Mungu Uncle Jimmy kwa harakati zake za kutafuta habari za Gospel na kuzirusha mitandaoni, na leo hii Rumafrica iliweza kupata clip hii kutoka katika blogu yake. Sikia wimbo huu wa Flora Mbasha.



Rulea Sanga (kulia) na Flora Mbasha

Comments