Tamasha a uzinduzi wa DVD yake ya NIPE NGUVU ZA KUSHINDA na pia kutambulisha bendi yake ya LIVE litafanyika katika ukumbi wa UBUNGOPLAZA saa 8 mchana siku ya JUmapili 14/06/2015. USIKOSE. Tunaomba sana utusambazie hili tangazo katika mitandao mbalimbali.
Comments