Hakuna asiyejua vurugu za Angel Benard aapokuwa katika madhabahu. Hakika Angel ni mwananmke aliamua kumtumikia Mungu hata kama kuna changamoto za hapa na pale lakini moyo wake ameuweka kwa Mungu. Kumbuka ya kwamba hapo zamani Angel Benard alishawahi kuimba nyimbo za kijamii lakini akaona huko hakuna faida na kuamua kurudi nyumbani kwa Bwana na kumtumikia.

Angel Benard na mume wake Godsave Sakafu waliovalia nguo nyeupe
Mungu amempa zawadi ya pekee sana ya utumishi kwa njia ya uimbaji na pia ni mwalimu mzuri sana wa Neno la Mungu. Mbali na hayo yote Mungu amezidi kumshangaza mwimbaji huyu na kumpa zawadi ya mume mwema ambaye kwa jina anaitwa Godsave na wamebahatika kuwa na huduma yao inayoenda kwa jina la DOXA.

Angel Benard

OG

Angel Benard



Dogo akienda sawa katika drums

Jessica BM

Imma Solo

Miriam Lukindo

Dj G maarufu kwenye one&two



BONYEZA READ MORE HAPO CHINI KIDOGO KUSHOTO KUONA MATUKIO ZAIDI
Comments