FLORA MBASHA ALIVYOKUWA AKIINGIA UKUMBINI (UBUNGO PLAZA) KUZINDUA DVD YAKE YA NIPE NGUVU YA KUSHINDA NA UTAMBULISHO WA BEND YAKE MPYA
Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania Flora Mbasha siku ya Jumapili 14/06/2015 aliweza kukabidhi DVD yake ya NIPE NGUVU YA KUSHINDA mikononi mwa Mungu ambapo mgeni RASMI Mh. Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA aliweza kukata utepe na kuizindua rasmi DVD hiyo. Tamashi hili lilihudhuriwa wa waimbaji mbalimbali kama Ambwene Mwasongwe, Lilian Kimola, Elizabeth Ngaiza, Glory Mainah, Furaha Isaya, MC Joyce Ombeni, MC Bony Magupa, Christina Mbilinyi, Neema Gasper, Jesca Sanga, Judy Sanga na wengine wengi.
Flora Mbasha aliweza kuimba nyimbo zake za kuabudu LIVE na kusababisha watu kutokwa ma machozi na wengine kubaki wanashangaa jinsi Mungu anavyofanya mambo yake kwa watu wake. Ilifika kipindi hata mgeni rasmi kuweza kuchukua kitambaa na kupangusa macho yake. Flora Mbasha anaweza kufanya kazi ya Mungu.
Mama yake mzazi alionekana akiwa na furaha huku akimwangalia mwanae kwa huruma na upendo wakati Flora Mbasha akitokwa na chozi wakati akiimba. Hakika uimbaji wake uligusa mioyo ya walio wengi. Rumafrica itakuletea baadhi ya clip ili wewe ambaye hukufika upate kuona angalau kidogo.
Wadhamini wa tamasha hili ambao ni The Fadhaget Sanitarium Clinic, Kidoti Rumafrica, ABE Sound, Gombo Tours, Grace Products, Cocacola, Clouds TV, Wanawake LIVE waliweza kufika na wengine waliwakilishwa na wawakilishi wao, walifanyika baraka sana kwa Flora Mbasha kukamilisha ndoto yake ya uzinduzi.

Picha zimepigwa na Rumafrica +255 715 851 523
Zidi kutembelea blogu hii kwa muendelezelo wa tamasha hili unaendelea.
Flora Mbasha akielekea stejini kwa mara ya kwanza
Flora Mbasha akijaribu kupenya katika ya waimbaji wenzanke ili apite mbele kwa kazi ya Mungu
Flora Mbasha tayari kwa kazi ya Mungu
Wapili kutoka kulia ni Mh. Freeman Mbowe..akiwa katika hali ya uwepo wa Mungu wakati Flora Mbasha akiimba
Wapili kutoka kulia ni Mh. Freeman Mbowe..akiwa katika hali ya uwepo wa Mungu wakati Flora Mbasha akiimba
Flora Mbasha
Mtangazaji wa Praise Power Radio, Erick Brighton akichyjya matukio
Flora Mbasha
Erick Brighton akitafuta angle ya kupata clip nzuri
Flora Mbasha
Mtangazaji wa Praise Power Radio, Erick Brighton akichyjya matukio
Flora Mbasha
Erick Brighton akitafuta angle ya kupata clip nzuri
Flora Mbasha
Mh. Freeman Mbowe (wa tatu kutoka kushoto) akimtamzama Flora Mbasha baada ya kukanyaga steji kwa kazi ya Mungu
Flora Mbasha
Flora Mbasha
Security Lady
Security
Kushoto ni MC Joyce Ombeni akiongea baada ya Flora Mbasha kumaliza wimbo wake
BONYEZA HAPA KUONA MH. FREEMAN MBOWE AKIINGIA UKUMBINI KWA KAZI YA KUZINDUA DVD YA FLORA MBASHA
BONYEZA HAPA KUONA MH. FREEMAN MBOWE AKIINGIA UKUMBINI KWA KAZI YA KUZINDUA DVD YA FLORA MBASHA
Comments