Mh. Freeman Mbowe wa CHADEMA aliweza kuhudhuri tamasha la Flora Mbasha katika ukumbi wa Ubungo Plaza siku ya Jumapili 14/07/2015. Tamasha hili lilikuwa la uzinduzi wa DVD mpya ya Flora Mbasha inajulikana kwa jina la NIPE NGUVU ZA KUSHINDA pamoja na kutambusha bendi yake mpya. Siku ya leo tutakuonyesha picha tu za kuwasili kwa Mh. Freeman Mbowe wakati mtumishi wa Mungu Mch. Maximillian (Majeshi Majeshi) akiimba.
Kushoto ni Freeman Mbowe
Kushoto ni Freeman Mbowe
Kulia ni Abjadi Mfinanga akifuatia Mh. Freema Mbowe
Comments