Siku ya Jumapili ya tarehe 05/07/2015 waimbaji bila ya kujizuia waliweza kufika katika tamasha la mwimbaji mwenzao Mary Mgogo kumuunga mkono katika zoezi zima la uzinduzi wa vidoeo yake ya MUNGU WA AJABU. Waimbaji hawa waliweza kumtukuza Mungu na kumshukuru Mungu kwa kumfanikisha Mary Mgogo kutimiza ndoto yake ya muda mrefu aliyokuwa nayo ya kuzindua video yake. Kila mwimbaji aliweza kupata muda wa kuimba na kumuia huyu Yesu wetu kwa sifa. Ilikuwa ni Jumapili ya kipekee sana kwa wale waliofika siku hiyo.
Bahati Bukuku
Baadhi ya wafanyabiasha maarufu sana katika soko la Kariakoo hawakujizuia kufika katika tamasha hili. Mary Mgogo ni mwimbaji ambaye hakika Mungu anamtumia kwa njia ya pekee sana katika uimbaji wake. Nyimbo zake zina mguso wa ajabu sana ukisikiliza. Akiongea na Rumafrica alisema, " Ni mpango wa Mungu alioweka kwake kwaajili ya kazi yake"
BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KIDOGO KULIA KUONA MUENDELEZO WA MATUKIO HAYA
Wanakamati
Christina Mbilinyi
Kutoka kulia ni Edson Mwasabwite na Tumaini Njole
Edson Mwasabwite
Edson Mwasabwite na shabiki wake
Mess Chengula (kushoto) na Edson Mwasabwite
Mess Chengula
Mess Chengula
Mess Chengula
Comments