RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EXCLUSIVE: KEZIAH NA SALOME NI WATOTO WADOGO WENYE KIPAJI CHA UIMBAJI, MITINDO NA UTANGAZAJI....WASIKIE WAKIHOJIANA NA RUMAFRICA Online TV

Rumafrica ilibaki mdomo wazi kutoka kwa watoto wa dogo wanaotoka katika familia ya waimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania. Woto wenye upeo na uwezo wa kujieleza na kujibu maswali. Rumafrica ikaona ngoja ikuletee ili uweze kuwasikia labda kuna jambo utajifunza na unaweza kutoa mchango wako kimawazo, kifedha na hata kiroho. Hebu tuwasikie sasa

Comments