RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAFOTO YA SEND OFF YA MWIMBAJI MAARUFU TANZANIA ANGEL BENARD

Ndani ya ukumbi wa wa Hotel Lion Sinza Dar es Salaam kulitawala makabila mawili ambayo yalihusika sana katika issue ya Angel Benard, nayo ni kutoka kwa upande wa Angel ambao ni Wanyakyusa na upande wa mume ambao ni Wahehe. Siku ya Alhamis 30/07/2015 ni siku ambayo Angel Benard hataweza kuisahau kwani ilikuwa ni siku maalumu na ya kipekee kufanya Send Off yake na siku hii na haitakuja kutokea tena. Angel Benard aliweza kuitendea haki kisawasawa. Aliweza kupata muda wa kuimba baadhi ya nyimbo zake mpya zinazotamba sana katika vituo mbalimbali vya redio

Siku hii ilihudhuriwa na waimbaji mbalimbali kama vile baadhi ya waimbaji kutoka katika kanisa lake la  WordAlive lililopo Dar, Bony Magupa na mke wake Jessica BM, Emmanuel Mabisa, Furaha Isaya, na wengine wengi. Kulikuwa na bloggers kama Rumafrica na Samweli Sasali ambaye alikuwa MC wa shughuli hii. Watu waliweza kufunga safari kutoka Arusha kuja kushuhudia Send Off hii. Rumafrica ili play part yake katika zoezi la kupiga picha ili uweze kuona kilichotokea
Tuone baadhi ya picha.
 Angel Benard (Kushoto)

 Jessica BM katikati akifanya yake




Furaha Isaya




KILIFIKA KIPINDI CHA ANGEL BENARD KUIMBA NYIMBO ZAKE







BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KIDOGO KUSHOTO KUONA MATUKIO MENGINE YA NGUVU YA SEND OFF HII



KIPINDI CHA ANGLE BENARD KUMTAFUTA MPENZI WAKE ILI AMTAMBULISHE



 Angel Benard akimvisha saa mume wake mtarajiwa


























Comments