RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

NAIMBA INJILI,SITAKI BONGO FLAVOUR

Haya ameyasema Mwimbaji wa Injili Goodluck Gozbert Kwenye Gazeti Pendwa La BURUDANI ambae kwa sasa anatamba na Nyimbo Mbili ambazo zinakwenda kwa jina La "Acha waambiane" na wimbo Mpya kabisa unaitwa'Ipo Siku" ambao utabeba jina la Albam.GoodLuck pia ni mtayalishaji wa nyimbo aina zote pia ni mtunzi wa nyimbo za injili na Bongo Flavour kazi ambazo Alizitunga za Bongo flavour ni Kama

BASI NENDA Ya Mo Muzic Basinenda NITAZOEA Ya kwake Mo Muzic,SIACHANI NAWE Ya Barakah da Prince,na NIVUMILIE Ya kwake Barakah da price aliyomshirikisha mwanadada Ruby{Hellen} ambayo inafanya vizuri kwa sasa.

GoodLuck Gozbert - waweza Muita Lollipop ama Lolly Lollymwaah Ni Mzaliwa wa Mwanza-Rock City na ni C.E.O wa Studio za Minisound Audiostation ambayo ipo maeneo ya Ghana jijini Mwanza Tanzania.




Comments