RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

PRODUCER J BLESSING AFIWA NA MWANAE KYLEINDI

Na Uncle Jimmy
. Alizaliwa miezi saba iliyopita, ni baada ya kupata chanjo.


Baby Kyle, hii ni picha ya kwanza kabisa ambayo mke wa Blessing aliiweka Instagram tarehe 2 mwezi wa pili. Kwa chini aliweka maneno yafuatayo “leo ni miaka zaidi ya ishirini imepita toka nizaliwe, nashukuru kila mtu ambaye amekuwa baraka kwangu, kubwa zaidi naishukuru familia yangu, mume wangu, mwanangu ambae ni dunia kwangu. “Happy birthday to me” Ni miezi saba tangu J Blessing na mke wake walivyosherehekea kuzaliwa kwa mtoto wao lakini ile furaha imefutika baada mtoto wao huyo kufariki ghafla.

Comments