RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MC JERRY ASHEREHESHA HARUSI YA BW. RAPHAEL NA BI. ANITHA NDANI YA LANDMARK HOTEL UBUNGO EXTERNAL-DAR

Kama kawaida yake MC Jerry aliweza kufanya makubwa katika harusi ya Bw. Raphael na Bi. Anitha ndani ya ukumbi Landmark Hotel ulioko Ubungo jijini Dar es Salaamsiku ya Jumamosi 29.08.2015. Ukiona watu wengi wanakuhitaji kwenye sherehe zao utambue huyo mtu anakitu cha pekee ndani yake. MC Jerry ni mmoja wa Ma-MC Jerry wanaofanya vizuri sana na ni kati ya ma mc wanaotunza muda na kuhakikisha kila mtu aliyefika anatoka akiwa ameridhika kuanzia muziki na ushereheshaji, ameweza kusherehesha sehemu mbalimbali na feedback yake imekuwa nzuri sana, watu wanamkubali MC Jerry kwa ucheshi wake na nidhamu akiwa kazini.
Rumafrica iliweza kufika katika eneo la tukio na kuweza kupata picha mbili tatu kwaajili yako wewe ambaye hujamjua MC Jerry uweze kuona kazi yake.

Unaweza kuwasiliana nasi kwa simu +255 715 851 523 nasi tutakuunganisha na MC Jerry pale utakapokuwa unamhitaji.

Tembelea
www.rumaafrica.blogspot.com

 MC Jerry

Raphael na Anitha


















BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KUONA MUENDELEZO WA MATUKIO HAYA












Comments