RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EMMANUEL MBASHA NA EMMANUEL MGAYA (MASANJA MKANDAMIZAJI) KATIKA IBADA YA SHUKRANI




September 27 itakuwa imeweka historia nzuri kwa muimbaji wa muziki wa Injili Emmanuel Mbasha, Hii ni baada ya kwenda kumtolea Mungu shukrani kwa kushinda kesi yake. Mbasha ambaye aliambatana na wadogo zake pamoja na baba yake mzazi aliweza kuelezea ni jinsi gani alikuwa akipata na mawazo ya kutaka kujiua, kuona walimwengu ni wabaya na hata wakati mwingine kujihisi ametengwa, Alisema Mbasha. Katika ibada hiyo ya shukrani naye muimbaji na Mchungaji Masanja mkandamizaji alikuwa anamshukuru Mungu kumpatia gari aina ya coaster itakayoshugulika na huduma yake ya STREET PASTOR. Unataka kusikia mengi kuhusu Emmanuel Mbasha…Unclejimmytemu ilipata nafasi ya kuongea naye na kueleza furaha yake. Msikilize hapo chini akiongea na Reporter Hezron Marwa

Emmanuel Mbasha akienda sawa


Furaha inapozidi kipimo…..macho uchukua sehemu yake.
Askofu Mwakibolwa akifanya maombi.


UKITAKA KUONA MATUKIO MENGINE BONYEZA "Read More" HAPO KUSHO TO CHINI KIDOGO

Emmanuel Mkandamizaji akiombewa baada ya kutoa sadaka ya shukrani


Wadogo wa Emmanuel Mbasha.






Comments