RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

MAMBO YAZID KUWA MOTO KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO ASSEMBLIES OF GOD

Jumapili ya 13/09/2015 kuna mambo ya ajabu sana yalitokea katika kanisa la Mlima wa Moto Assemblies of God. Hii inatokana na jinsi gani watumishi wa Mungu kwa masada wa Mungu walivyojipanga kupambana na nguvu za sheatani kimaombi. Ukiangalia clip hii mpaka mwisho utaamini maneno yangu. Ukitaka kujua mengi kuhusiana na huduma hii tembelea www.mountainoffire.blogspot.com
Karibu

Comments