RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UNATAKA KUJUA KWANI MWIMBAJI WA GOSPO PETER BANZI ALIVUTA BANGI, ANAPENDA STELLA JOEL KIHUDUMA, AMEOA AKIWA MDOGO, UPOFU WA MAREHEMU MAMA YAKE, MUZIKI WA HIP HOP KUTOKUBALIKA, FAIDA ZA NDOA, MALENGO YAKO, UJUZI WAKE KTK KITUO CHA EATV , KUNYOOSHA MKONO WAKATI MCHUNGAJI ANAHUBIRI AKIDAI AOKOKE KWANZA NDIPO MCH. AENDELEE KUHUBIRI..MSIKIE SASA...

Peter Banzi ni mwimbaji wa gospel Tanzania ambaye amepitia mambo mengi sana kabla ya kukokoa na baya zaidi amewahi kutumia bangi na kiasi kidogo madawa ya kulevya, lakini alipokutana na nguvu za Mungu aliweza kubadilika na sasa ameokoka anamtumikia Mungu na malengo yako ni kuwa mhubiri, hata kama kwa sasa anaimba hip hop na akihubiri. Siku ya leo amefunguka na kutoboa maisha yake kabla na baada ya kuokoka. Tumsikilize

Comments