RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

UPENDO NKONE AFANYA MAKUBWA KATIKA TAMASHA LAKE LA MIAKA 10 Y HUDUMA YAKE

Jamani miaka 10 katika huduma si kitu cha mzaha. Dada Yetu mtumishi wa Mungu Upendo Nkone, mkongwe wa nyimbo za Injili nchini Tanzania siku ya 27/09/2015 ndani ya kanisa la kisasa la CCC Upanga jijini Dar es Salaam aliweza kumshukuru Mungu kwa kumlinda na kumpigania katika huduma yake ya uiambaji kwa muda wa miaka 10 sasa. Kuna waimbaji wenzake ambao walianza huduma na  yeye lakini hawakuweza kufika hii miaka 10 ambayo yeye ametimiza lakini wapo wengine wametiza na wengine kuzidi miaka 10 lakini hawakupewa neema ya kumshukuru Mungu kwa kuwafikishe hapo walipo.

Kama mkristo unajifunza nini kupitia tamasha hili la


Mama Upendo Nkone na kati ya Kimara katika Ubora wake.
Timu ya wachungaji mbalimbali wakiweka wakufu DVD ya Upendo Nkone.






Mgeni rasmi akazindua DVD

MATUKIO MENGINE BONYEZA "Read More" HAPO CHINI KIDOGO UPANDE WA KUSHOTO





Martha Baraka akifanya kweli siku ya jana.


Dr Huruma Nkone naye alikuwepo kusupport huduma ya Upendo Nkone….





Mwakilishi kutoka ofisi ya Msama Promotion (Jimmy) akiweka ahadi.

Reporter wa unclejimmytemu.com Hezron Marwa wa 3 kutokea kulia akienda sawa.
Timu ya Gospel Trax wakienda sawa mdau wangu
Upendo Nkone akiwashukuru watanzania kwa ujumla kwa kuja kumtia moyo na hata wale ambao awakufika.




Comments