BISHOP DASTAN MABOYA HAULE anakualika katika kongamano la Shiloh
Tanzania 2015 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni B kwa Bishop Dr.
Gertrude Rwakatare kuanzia tarehee 06 hadi 12/12/2015. Saa 10 hadi 12
jioni. Na siku ya Jumapili litaanza saa 3 asubuhi mpka saa 9 mchana.
Kutakuwa na waimbaji weni sana kama Bahati Bukuku, Goodluck Gozbert,
Gideon Mutalemwa, Happy Choir, Joy Bringers na wengine wengi. Jopo la
Wachungaji watakuwepo. Tembelea www.mountainoffiretanzania.blogspot.com

Comments