
Miezi 2 iliyopita Star wa muziki wa hip hop kutoka Kenya ASTAR na mkewe MERCY wameonyesha utofauti mkubwa katika maisha yao ya muda mfupi kwenye ndoa yao baada ya ku- released a new video ya wimbo wao 'NAWEZA'. Akifanya mahojiano na ulinza.com alisema kua
(We can make a difference is their main word in the new single called “Naweza”. Life is tough but we can only change it if we hold hands together because if I can then you can and together we can make a difference)
Comments