RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

GOSPEL KITAA KATIKA HARAKATI ZAKE YAKUTANA NA WATU KATIKA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA UCHAGUZI 2015



Wakati Jiji la Dar es Salaam wenyewe wakimshukuru Mungu kutokana na uchaguzi kufanyika kwa usalama na amani, Jijini Arusha tukio kama hilo lilifanyika kuelekea uchaguzi mkuu, GK ambayo ilikuwa sehemu ya tukio hilo, inakuletea picha za tukio.

Emmanuel Makwaya amekuwa akifundisha somo la Kusifu na Kuabudu katika sehemu mbalimbali. Na pia alikuwa akiandaa semina za mafundisho hivyo akaamua kuyaleta yale anayofundisha katika matendo.

Katika kipindi hiki cha uchaguzi katika nchi ya Tanzania hivyo ilikuwa ni Ibada ya kumshukuru Mungu kwa kutupenda kama Tanzania na kutulinda hata katika uchaguzi huu.

Ungana na GK katika picha kama ilivyofika katika ibada hiyo iliyofanyika tarehe 14 mwezi wa kumi katika ukumbi wa Hotel ya Cordial Springs.





















Abednego na The Worshipers









BONYEZA "READ MORE" HAPO CHINI KUONA MATUKIO MENGINE





























































-

Comments