RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EMINA ARUSHA: SIKU 8 ZA KUFUNGULIWA VIFUNGO ULIVYOFUNGWA BILA KUJUA



Karibu katika semina ya siku nane iliyoandaliwa na mtumishi wa Mungu Goodluck Sandy, ili watu mbalimbali wapate kuponywa na kufunguliwa dhidi ya vifungo walivyofungwa na ukoo wao.

Kila aina ya kamba ulizofungwa ukiwa tumboni kabla ya kuzaliwa zitaondolewa, ikiwemo magonjwa yaliyo sugu, na hata maagano usiyoyafahamu yanayokuandama na kukutesa kila siku, ndoto za ajabu, na kila aina ya tatizo.

Hujachelewa mtu wa Mungu, fika Shamsi, Hemani kwa mtumishi wa Mungu Goodluck Sandy. Na hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa na GK baada ya kufika siku ya pili ya tukio hilo ambalo linataraji kutamati Jumapili tar 13.




























































- See more at: http://www.gospelkitaa.co.tz/2016/03/semina-arusha-siku-8-za-kufunguliwa.html#sthash.78USFltD.dpuf

Comments