RUMAFRICA Magazine

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

EWE MKAZI WA KIGAMBONI USIKOSE SIKU TATU ZA UPONYAJI NA KUFUNGULIWA KWAKO KATIKA KANISA LA MLIMA WA MOTO GEZAULOLE KIGAMBONI

Kuna watu wengi sana wamefungwa na nguvu za giza, kila kitu wanachotaka kufanya lakini hakifanyiki kutokana na watu wabaya walioweka kipingimizi. Kila ukifanya ufanikiwe. Unaweza ukawa umeomba sana lakini hupati jibu, lakini katika mkutano huu Mungu ataingilia kati kutegua mitego iliyotegwa.
Bishop Dr. Gertrude Rwakatare

Yesu anaingilia kati katika lile lililofungwa kufunguliwa na mamombo yako yanabadilika automatically. Milango ya baraka itafunguliwa na wewe dada ambaye ulikuwa unatamani kuolewa unaenda kuolewa kwa jina la Yesu Kristo.

Katika kufunguliwa kwako lazima na wewe usimame kiwimawima na Mungu atakutetea usimwachie Mungu tu, lazima na wewe uwe ngangali katika maombi. Maombi yako yatafanya wachawi na maadui nguvu zao kupungua na watashindwa kukuangamiza. Nguvu za Mungu zitashuka kutetemesha maadui zako na utaona milango inafunguliwa.

USIKOSE KABISA

Comments