Select Menu

News

MTUME DR. PETER NYAGA

MTUME DR. PETER NYAGA

MCH. BURTON SANGA

MCH. BURTON SANGA

TTCL

TTCL

GEPF

GEPF

VIGAE TANGAZO

VIGAE TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

IRINGA MAZIWA TANGAZO

AZAM TV

AZAM TV

RUMAFRICA NA HABARI ZA GOSPEL: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA Online MAGAZINE: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

Rumafrica. Powered by Blogger.

RUMAFRICA Online TV: Bonyeza alama nyekundu kusoma zaidi

RUMAFRICA: MATANGAZO: Bonyeza alama nyekundu

ELIMIKA NA RUMAFRICA

RUMAFRICA MTAANI

MLIMA WA MOTO ONLINE TV NA HABARI MBALIMBALI ZA MLIMA WA MOTO

RUMAFRICA VIDEO

» »Unlabelled » GOSPO SINGER ANGELA MGOTI ATAKA KUIMBA NYIMBO NA DIAMOND, LINAH SANGA NA RUBI


Sanga Rulea 9:00 AM 0

Msanii wa nyimbo za Injili nchini Angela Magoti amesema kwamba anatamani sana siku moja aweze kufanya kazi na Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnum, Rubi pamoja na Lina.
Msanii huyo ametoa ya moyoni alipokuwa akifanya mahojiano maalum katika kipindi cha eNews kinachorushwa na EATV na kubainisha wazi kwamba kuna umuhimu wa waimbaji hao kushiri kazi kumuimbia Mungu pia.
''Ninafanya strategies za kufanya kazi na Diamond Platnum kwani naamini kuna faida kubwa katika kumtumikia Mungu''Amesema Magoti.
Msanii huyo ameweka wazi pia kuwa na shauku ya kutengeneza wimbo na msanii wa bongo fleva Rubi pamoja na Lina kwani kuna watu wengi makanisani wanadhambi sana hivyo haoni sababu ya ni kwa nini asifanye kazi na wasanii hao kwa lengo la kumtukuza na kumwabudu Mungu.

Diamond
 Linah Sanga
Rubi

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS

JIUNGE NA ST MARY'S INT'L SCHOOLS