MelK Premium Suits

TANGAZO MUHIMU

RUMAFRICA FASHION

RUMAFRICA FASHION

BISHOP DR. M.E. ADMIN

BISHOP DR. M.E. ADMIN

SANDLANDS HOTEL KARIAKOO

HATIMAYE RUMAFRICA YAMALIZA KU-DESIGN COVER LA ALBAMU YA JEMA MCHOMVU

Rumafrica inamshukuru sana kumaliza ku-design cover la albamu mpya ya Jema Mchomvu. Huyu ni mwimbaji wa nyimbo kutoka Dodoma lakini kwa sasa makazi yake yamehamia jijini Dar es Salaam. Tunamshukuru Mungu kwa mwimbaji huyu ambaye amekuwa na shauku kubwa sana ya kumtumikia Mungu, na alipokaa chini na kutafakari ni jinsi gani anaweza kumtumikia akisikia nafsi yake ikimwambia atamtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji.

Tunamshukuru sana Mungu ameweza kumpa nyimbo zenye kugusa nafsi na zilizobeba ujumbe mzito kutoka kwake Baba. Kupitia uimbaji wake na uhakika utakwenda kufunguliwa. Unachotakiwa kufanya ni kuwa na IMANI kuwa kile kinachooibwa kinaenda kutokea katika maisha yako.

Jitahidi sana kujipatia nakala yako madukani
0